Sakramenti ya Upendo

In Stock
$1.50

Sacramentum Caritatis Benedict XVI Read more

ISBN 9966-08-409-6; kurasa 96: kilichapishwa 2009

"Fumbo la imani!" Kwa maneno haya, yanayosemwa mara baada ya maneno ya mageuzo, padri anatangaza fumbo linaloadhimishwa na anaeleza mshangao wake mbele ya badiliko kuu la mkate na divai kuwa mwili na damu ya Bwana Yesu, ukweli unaopita ufahamu wote wa mwanadamu. Ekaristi ni "fumbo la imani " lisilo na kifano: "jumuisho na muhtasari/kifupisho cha imani yetu." Imani ya Kanisa kwa dhati ni imani ya kiekaristi, na kwa namna ya pekee inashibishwa katika meza ya EKARISTI. imani na sakramenti ni mambo mawili yanayokamilishana ya maisha na ya kikanisa. Likiamshwa kwa kufundishwa neno la Mungu, imani inashibishwa na kukua katika kutano lililojaa neema na Bwana Mfufuka ambalo linatokea katika sakramenti: "imani inaelezwa katika riti, wakati riti zinatiwa nguvu na kuimalishwa na imani."

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like