Mungu ni Upendo

In Stock
$1.00

Waraka wa Papa Benedikto XVI kwa Maaskofu, Mapadri na Mashemasi, Watawa wa Kiume na Kike, na Waumini Walei Wote, Kuhusu Kupendana Kikristu ISBN 9966-08-412-6; Year of Publication 2009; 55 Pages Read more

"Mungu ni Upendo; basi mtu aishiye kwa upendo anaishi katika Mungu, pia Mungu anaishi na yule mtu" (1 Yoh 4:16). Maneno hayo ya Waraka wa kwanza wa Mtume Yohane yaeleza dhahiri kiini cha imani ya Kikristu, sura ya Kikristu yake Mungu mwenyewe, pia sura yake ubinadamu wenyewe utokanao katika Mungu, na kwa hiyo, sura yake madhumuni yenyewe, ya ubinadamu. Pia, katika aya ile ile, Mtakatifu Yohane ametueleza muhtasari wa kuishi Kikristu, yaani, "Nasi tumefahamu na kusadiki upendo wa Mungu kwetu sisi."

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like