Furaha ya Injili

In Stock
$3.00

Papa Fransisko; ISBN 9966-08-865-2; kurasa 168: kilichapishwa mwaka 2014 Read more

Huu ni Wosia wa kitume, Evangelii Gaudium, wa baba Mtakatifu Papa Fransisko wa kwanza. " Furaha ya injili huijaza mioyo na maisha ya watu wanaokutana na Yesu. Wale wanaoikubali zawadi yake ya ukombozi wanawekwa huru kuondokana na dhambi, uchungu, utupu wa ndani na upweke. Pamoja na Kristo , daima furaha inazaliwa upya. Katika Wosia huu napenda kuwatia moyo waamini Wakristo kuanza sura mpya ya uinjilishaji yenye mhuri wa furaha hii, wakati nikitoa mwelekeo wa njia mpya kwa ajili ya safari ya Kanisa katika miaka ijayo.'- Papa Fransisko
Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like