Na Papa Fransisko; ISBN 9966-60-030-1; kilichapishwa mwaka 2016; kurasa 192 Read more
Huu ni Waraka wa kitume, Amoris Laetitia wa Baba Mtakatifu Fransisko. " Furaha ya upendo inayopatikana katika familia ni furaha ya Kanisa pia. Kama Mababa wa sinodi walivyobainisha, kwa dalili zote za migogoro katika maisha ya ndoa, 'hamu ya kuoana na kuunda familia bado ni mahiri, hasa kati ya vijana, na jambo hili ni kichocheo cha mawazo mapya kwa kanisa.' Kwa kuitikia hamu hiyo, "tamko la kikristo kuhusu familia ni habari njema kweli."-Papa Fransisko
Specifications | Descriptions |
---|---|