Hakimu Mpole, Bwana wetu Yesu, Mchungaji wa Roho, alimpatia Mtume Petro na mahalifa wake madaraka ya funguo ili kuifanya kazi ya ukweli na haki katika Kanisa; Madaraka hayo yaliyo ya juu kuliko yote na yanayowagusa wote ya kufunga na kufungua hapa duniani huimarisha, na kulinda madaraka ya Wachungaji wa Makanisa Mahali, ambao kwao wana haki takatifu na wajibu mtakatifu mbele ya Bwana wa kutoa hukumu kwa waliowekwa chini ya uangalizi wao.
Specifications |
Descriptions |
|
|