Juu ya Udugu na Ufariki wa Kijamii

In Stock
$4.50

ISBN 9966-60-221-3; 158 pages; publication 2021 Waraka wa Baba Mtakatifu Fransisko "Fratelli Tutti" Read more

"FRATELLI TUTTI" (Sote ni Ndugu). Kwa maneno haya, Mtakatifu Fransisko wa Asisi aliwaambia ndugu zake na kupendekeza kwao njia ya maisha yenye ladha ya Injili. Ningependa kuchagua mojawapo ya mashauri aliyotoa Fransisko, ambalo anashauri upendo unaovuka mipaka ya kijiografia na umbali, na anawaita wenye heri wale wote wanaompenda ndugu yao "aliye mbali naye kama aliye karibu naye." Kwa njia yake iliyokuwa rahisi na ya moja kwa moja, Mtakatifu Fransisko alionyesha maana ya uwazi wa kidugu unaotufanya kumkubali, kumtambua na kumpenda kila mtu, bila kujali ujirani, bila kujali alikozaliwa au anakoishi.
Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like