Na Christopher Mallia; ISBN 9966-21-892-1; Kilichapishwa Mwaka 2003; Kurasa 56 Read more
Kijitabu hiki kimeandikwa ili kueleza kwa maneno marahisi Sakramenti ya ubatizo inamaanisha nini. Kinaongelea juu ya kuanguka kwa Adam na Eva na hatua Mungu aliyochukua ya kutukomboa kutoka katika dhambi. Ubatizo wenyewe na madhara yake yamezungumziwa kwa undani. "Kila mara nilipoeleza juu ya Ubatizo, kwa kina, sikuweza kujizuia kutambua ukweli wa ndani kabisa kuhusu kila jambo kinagaubaga. Hii ni kwa sababu kwangu mimi Ubatizo sio tena jambo lililotokea nyakati za nyuma kabisa; ni uzoefu wa kila siku."
Specifications | Descriptions |
---|---|