Sakramenti Ya Upatanisho

In Stock
$1.50

ISBN 9966-21-603-0; mwaka wa kuchapishwa 2001; kuchapishwa kwa mara ya kwanza 2004; kuchapishwa kwa mara ya tatu 2016: kurasa 56 Na Chris Mallia Read more

Weight: 95
SKU: #5A6MEbEuUE
Karibu na mwishoni mwa mwaka kwa kawaida huwa natayarisha kikundi cha watoto 70 wenye umri kati ya miaka 9 na 10 kwa ajili ya kupokea Sakramenti ya Komunyo kwa mara ya kwanza na bila shaka Sakramenti ya Upatanisho (Kitubio). Kwa wakati fulani, baada ya kuwapatia mfululizo wa masomo kuhusu Kitubio huwa nawaalika mapadri wawili, ambao tayari huwa wanajulikana sana na kupendwa na watoto hao, kufika na kuwaungamisha kwa mara ya kwanza. Ghafla watoto hushtuka kuhusu wazo la kwenda kuungama dhambi zao. Nyuso zao hubadilika na kuonyesha hofu, kama kwamba wanaona mzimu na hujiskia hawawezi kuvuta pumzi kwa kufikiria jambo la kwenda kuungama dhambi zao.
Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like