Sakramenti ya Ekaristi

Out of stock
$1.50

Na Christopher Mallia; ISBN 9966-21-599-9; Kilichapishwa Mwaka 2001; Kurasa 64 Read more

'Wakati nilipokuwa ninaanza kukiandika kitabu hiki juu ya Sakramenti Takatifu ya Ekaristi, mara moja nilitambua ya kwamba Sakramenti hii siyo kama sakramenti nyingine yoyote, kwa kuwa huyu ni Yesu Kristu mwenyewe akiwa katika maumbo ya mkate na divai. Sakramenti nyingine zilizobaki, zinaweza kuelezwa kuwa ni njia ambamo Yesu huweza kupitia ili kutufikia sisi na kutupa msaada tunapokuwa njiani kuelekea kwa Mungu Baba. Kwa kila hali Ekaristi Takatifu, ni Yesu mwenyewe. Kwa hiyo kijitabu hiki ni matokeo ya imani yangu iliyotengenezwa upya kwenye uwepo wa Yesu kwa Ekaristi. Tumaini langu ni kwamba wewe msomaji utaweza kupata, kama mimi, neema zilizofichama ndani ya Yesu katika Ekaristi Takatifu. Ninatumaini kuwa utaweza kugundua uhusiano hai uliopo pamoja na Yesu ndani ya Ekaristi"_ Mwandishi

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like