Kusoma

In Stock
$1.00

ISBN 9966-21-498-4; Year of publication 2003: pages 31 Read more

Tags: Kusoma
Weight: 95 g
SKU: #yIqm2io9Cs

Waalimu wanajua inavyofurahisha kufanya kazi kwa shauku na watoto wadogo ambao wanapenda kweli kujifunza. Na hasa wakati kujifunza kunafanywa mvutio kwa kutoa viatabu na zana zinazofaa kwa madarasa ya awali huwafurahisha sana watoto. Watoto watapendezwa na uzuri wa michoro ya rangi inayopatikana katika vitabu hivi vitatu. Waalimu watawaongoza hawa watoto halafu hatua kwa hatua watawasidia kufanya majaribio ya msingi na ustadi kwa desturi zinazijulikana kama K-tatu: Kusoma-kuandika-Kuhesabu. Ni ,uhimu kwa madarasa ya awali.

Kila herufi imeonyeshwa kwa herufi kubwa na ndogo. Mifano ya maneno ambayo huanzia na kila herufi ya alfabeti imetolewa. Kwa nyongeza, kuna picha zenye maneno sawa na kila herufi. Kila picha imeambatanishwa na maneno yanayoanzia na herufi kubwa kuonyesha jinsi neno linavyokuwa mwanzoni mwa sentensi, bali maneno yaliyoko kwenye kisanduku huanzia na herufi kubwa kwa mfano: Afrika
Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like