Changamoto Kwa Wakatoliki Wa Siku Hizi

In Stock
$0.50

Na Geofrey G. Hilly; ISBN 9966-08-443-6; Kilichapishwa Mwaka 2014; idadi ya Kurasa 120 Read more

Weight: 70 g
SKU: #J1seHSdDyT

Katika kitabu: Changamoto kwa Wakatoliki wa siku Hizi, mwandishi amejibu maswali mbalimbali yanayowakera Wakristu, hususani Wakatoliki. Cha kufurahisha na kutia moyo ni kwamba mwandishi ametumia Biblia Takatifu kama msingi wa kujibu maswali hayo. Hii ina maana kwamba majibu yake ni ya kuaminika na ya kuzingatiwa; kwani neno la Mungu ni nguzo kuu ya imani yetu. Kwa hiyo namwalika kila mmoja kukisoma kitabu hiki katika lengo la kujua kwa kina na ufasaha majibu ya maswali yanayosumbua akili za wengi. Aidha, ukisoma kitabu hiki utajifunza Biblia na kuthamini neno la Mungu kwa faida ya wokovu wako. Kitabu hiki kitakupatia njia nzuri na nyepesi ya kusoma Biblia, kuelewa na hatimaye Kutekeleza hilo neno la Mungu kwa sifa na utukufu wa Mungu na kwa wokovu wako. Zaidi ya hayo utakuwa mtumishi mwema na mwaminifu katika kueneza ufalme wa Mungu kwa wengine kwa maneno na vitendo, hivi kuwavuta wengi kwa Kristu Yesu (Mt 5:16)

-Dibaji (Msgr. Deogratias H. Mbiku, Ph.D.)

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like