Novena kwa Malaika Mkuu Rafaeli

In Stock
$0.50

Padre Jean Ilboudo, SJ, ISBN 9966-08-489-4; Kilichapishwa Mwaka 2010, Toleo la 2019; Idadi ya Kurasa 48 Read more

Novena hii ya Malaika Mkuu Rafaeli hasa ni kwa upendo wa wagonjwa, wanaowatibu na wahudumu wao. Sikiliza anachokisema Mt. Yohane: "Huko Yerusalemu karibu na Lango la Kondoo pana bwawa, kwa Kiebrania huitwa Bethzata, jengo lake lina matao matano. Humo walilala wagonjwa wengi; vipofu, viwete, na wenye kupooza. Walingoja maji yavurugike. Kwa maana mara kwa mara malaika alishuka katika dimbwi, akayavuruga maji. Hapo mtu wa kwanza aliyeshuka dimbwini baada ya kuvurugika maji alipona ugonjwa wowote aliokuwa nao." (Yn 5:2-4). Hivyo tunaamini kwamba malaika huyu ambaye kupitia kwake Mungu anadhihirisha wazi wema wake kwa wagonjwa, alikuwa malaika Rafaeli. Kwa siku kuu yake, kanisa linatupa fursa ya kusoma katika Maandiko Matakatifu sehemu ambapo tukio hili kuu na lenye kutia huruma linasimuliwa.

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like