Kusali Pamoja na Mt Paulo

In Stock
$1.00

ISBN 9966-08-403-3; Year of publiation 2009;Reprint 2019: pages 64 Read more

Katika mwaka huu uliotolewa haswa kwa ajili ya Mt. Paulo, Baba yetu na Mlinzi wetu, tunataka kutoa kijitabu hiki kwa heshima yake. Kwa kunukuu maneno haya Mwenyeheri James Alberione, tunarudia kusema; "Kwa Mt. Paulo tunatoa shukrani zetu toka moyoni kwani kwetu yeye ni Mwasisi kweli wa Familia ya Pauline Naam, Mt. Paulo ni Baba, Mwalimu, kielelezo na mlinzi wa familia hii, ambayo ilianzishwa katika yeye na ndiye aliyeilisha, kuistawisha na kuitunza. Kwa kweli, roho ya Familia hii imetoka kwake" (rej. AD 2). Kwa wema wake Bwana, katika Kristo Yesu ameikirimia Familia ya Pauline mazuri tele ya neema, ambayo ni kama maji yatiririkayo na kuelekea mawandani, yakinyweshea na kurutubisha, nayo mawanda huzaa mazao tele (rej.AD 5). Tumeitwa kutoa huduma mbalimbali katika utumishi wetu ndani ya ulimwengu wa mawasiliano. Ulimwengu ambao ni changamani na umeja changamoto nyingi. Kwa hiyo, baraka tulizokirimiwa yapasa tuzishirikishe watu wote.

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like