ISBN 9966-08-774-5; Mwaka wa Kutolewa 2013; Idadi ya Kurasa 56 Read more
'Pamoja katika familia a Yesu' ni kitabu cha tano (5) katika mfululizo wa vitabu sita vya 'Safari ya Imani' vya mafundisho ya Katekisimu Katoliki. Kitabu hiki kimejikita hasa katika kufafanua mafundisho yahusuyo, Ndoa na Familia. Kinafafanua mada mbalimbali kama vile; Ndoa kama sakramenti, Ndoa za mseto, Uhusiano wa ndani na uaminifu katika ndoa, Kulea watoto na mchanganyiko wa dini. Mfululizo wa vitabu vya katekisimu vya 'Safari ya Imani' vinatoa mwongozo kwa wakatekumeni wanaojitayarisha kupokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu, Kitubio, au Kipaimara kwa mara ya kwanza. Vitabu hivi pia vinaweza kuwasaidia wakristo kuimarisha imani yao na kuishi kwa furaha kama wafuasi wa Kristo, na kuwa mashuhuda wa kweli katika jamii yetu ya kisasa.
Specifications | Descriptions |
---|---|