Ninatumikia Katika Familia ya Yesu 4 - Safari ya Imani Na 4

In Stock
$1.50

ISBN 9966-08-399-5; Kurasa 104: Toleo la pili 2012 Read more

'Ninatumikia katika Familia ya Yesu' ni kitabu cha Nne (4) katika mfululizo wa vitabu sita vya 'Safari ya Imani'  vya mafundisho ya Katekisimu Katoliki. Kitabu hiki kimejikita hasa katika kufafanua mafundisho yahusuyo, Sakramenti ya Ndoa, Daraja takatifu na Mpako wa wagonjwa, miito, visakramenti, jumuiya ndogondogo za Kikristo na mafundisho juu ya Sala. Kinafafanua maswali mbalimbali kama vile; Sala ni nini? Kwa nini kuoa wanawake wengi ni kosa?Kwa nini tunawaombea wengine?  Mfululizo wa vitabu vya katekisimu vya 'Safari ya Imani' vinatoa mwongozo kwa wakatekumeni wanaojitayarisha kupokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu, Kitubio, au Kipaimara kwa mara ya kwanza. Vitabu hivi pia vinaweza kuwasaidia wakristo kuimarisha imani yao na kuishi kwa furaha kama wafuasi wa Kristo, na kuwa mashuhuda wa kweli katika jamii yetu ya kisasa.

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like