Ninakua Katika Familia ya Yesu - Safari ya Imani Na 3

In Stock
$1.50

ISBN 9966-08-284-0; Kurasa 80: toleo la pili 2012 Read more

'Ninakua katika familia ya Yesu' ni kitabu cha tatu (3) katika mfululizo wa vitabu sita vya 'Safari ya Imani'  vya mafundisho ya Katekisimu Katoliki. Kitabu hiki kimejikita hasa katika kufafanua mafundisho yahusuyo, Liturujia pamoja na Sakramenti takatifu. Kinafafanua maswali mbalimbali kama vile; Liturujia ni nini? Kwa nini Jumapili ni muhimu sana kwetu wakristo? Kuwa mkristo kuna maana gani? Mfululizo wa vitabu vya katekisimu vya 'Safari ya Imani' vinatoa mwongozo kwa wakatekumeni wanaojitayarisha kupokea Sakramenti ya Ekaristi Takatifu, Kitubio, au Kipaimara kwa mara ya kwanza. Vitabu hivi pia vinaweza kuwasaidia wakristo kuimarisha imani yao na kuishi kwa furaha kama wafuasi wa Kristo, na kuwa mashuhuda wa kweli katika jamii yetu ya kisasa.

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like