ISBN; 978 9966-21-880-7. Year of publication: 2003; No. of Pages: 40 Read more
Kitabu hiki cha Njia ya Msalaba kimetayarishwa kwa kujumuisha kifungu kutoka katika Biblia Takatifu, tafakari, sala, na kipande cha wimbo katika kila kituo. Kinaweza kutumika kibinafsi au katika jumuiya ya Kikristo. Njia ya Msalaba ni ibada inayowaongoza waamini kutafakari mateso na kifo cha Yesu Kristo, na hivyo kuimarisha imani na maisha ya kiroho.
| Specifications | Descriptions |
|---|---|