Yawapasayo Wazazi Kujua

In Stock
$1.50

Kuhusu Maisha na Mapenzi By Rose N. Wachira ISBN 9966-08-508-4; Mwaka wa Kuchapishwa 2010 First Published as -What Parents Should Know (2000), Vielelezo na Manolito Corpuz Read more

Maisha ni zaidi ya yale yalioyoandikwa kwenye majarida au vitabu au yale yanayojadiliwa kwenye redio na runinga; lakini naona ni heri kuwasha mishumaa kuliko kulaani giza. Kama kila mzazi atawasha mshumaa, giza katika jamii zetu litageuka na kuwa mwangaza.

Katika kazi hii wazi na nyepezi inayochangia mambo kuhusu maisha, nimetia juhudi kuwasilisha yale ambayo ninachukulia kuwa muhimu na ya manufaa ili kuwasaidia watoto wetu kukua ili kuwa watu wenye kuwajibika. Ninajadili hali ya kujielewa binafsi na uwezo wa kujikubali, swala la mapenzi na maisha, ujinsia na ubikira na swala telezi la kubalehe. Pia kunayo sehemu inayojadili dhambi dhidi ya mtu binafsi na utumiaji upendo visivyo na vile vile sehemu inayogusia Virusi na UKIMWI ikiwemo jinsi za kuuzuia.

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like