Na Christian W. Troll; ISBN 9966-08-767-2; Kilichapishwa Mwaka 2013; Idadi ya Kurasa 136 Read more
Sehemu nyingi duniani Waislamu na Wakristo wanakutana mara kwa mara zaidi kuliko wakati wowote mwingine. Mara nyingi Waislamu wanawauliza Wakristo juu ya imani na maisha yao. Kitabu hiki kinajihusisha na maswali 12 ambayo ni muhimu sana na kinaeleza kwa mapana na marefu asili ya mwaswali hayo iliyo katika wazo la kidini la muislamu. Kutokana na mtazamo wa imani na teolojia ya Kikristo na pamoja na wa kufanya mabadilishano ya mawazo na Waislamu, misimamo ya Kikristo inafafanuliwa, na yameundwa mapendekezo yaliyotolewa kwa uangalifu na kinyofu ili kuyajibu maswali hayo. Kwa njia hiyo kitabu hiki kinawapa Wakristo na Waislamu msaada wenye thamani kwa ajili ya kusaidia kutoa maelekezo na kujenga msingi imara kwa ajili ya kuzikutanisha dini mbalimbali na kufanya mazungumzo.
Specifications | Descriptions |
---|---|