Tumtunze Taiga

In Stock
$5.00

ISBN 9966-08-619-6; Mwaka wa Kuchapishwa 2012: kurasa 31 By Christopher Okemwa Read more

Tags: Tumtunze, Taiga
Weight: 45
SKU: #nDA8AqdH43

Desi alikuwa na umri wa miaka kumi. Alikuwa kwenye darasa la nne, katika shule ya msingi ya Genesis Preparatory. Aliwapenda sana Wanyama na kila mara aliwasumbua wazazi wake wawapeleke yeye na kaka zake George na Tim. katika hifadhi za wanyama yatima kila wikendi. Kila walipozurura hifadhi, Desi alivutiwa sana na wanyama wale kiasi cha kutopendelea kutoka huko. Kati ya wanyama wote mle, Desi alimpenda sana Taiga. Kulikuwa na wanyama wengine kama vile ndovu, simba na taiga. Aliposherehekea miaka kumi na moja ya kuzaliwa kwake, shangaziye, Mama Elizabeti, alimletea mwana mbwa kama zawadi. Alifurahi sana. Mwana-mbwa huyu alikuwa wa rangi ya kahawia na Madoa meupe kwenye shingo lake. Akambatiza jina Taiga. Alifurahia sana kummiliki Taiga kama mnyama rafiki.

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like