Siri ya Rozari

In Stock
$5.70

Mt. Lui wa Montfort, vielelezo na S. Bullen; ISBN 9966-60-048-6; kurasa 136: kilichapiswa mwaka 2017 Read more

Tags: Siri, ya, Rozari
Weight: 215 g
SKU: #hW5fBEzTu8

'Kwa njia ya Rozari, wadhambi wenye kiburi wa jinsia zote waliongoka na wakaanza kuishi maisha matakatifu, huku wakihuzunika sana na kutoa machozi ya masikitiko kwa sababu ya dhambi zao za siku zilizopita. hata watoto waliofanya toba isiyoaminika; wakaonyesha uchaji kwa mwanangu na pia kwangu mimi. uchaji huu ulienea vizuri mno hivyo kwamba ilionekana kana kwamba malaika ndio walioishi duniani.'- Ufunuo wa Bikira Maria kwa mwenyeheri Alan de la Roche. Kitabu hiki kina ufafanuzi mkubwa na wa kina juu ya rozari takatifu, hivyo watu wa rika zote na hali yoyote ya maisha wanaalikwa kukisoma ili kugundua siri na manufaa ya kusali rozari kila siku kama Bikira Maria na Mama Kanisa anavyoagiza.

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like