Sala na Kanuni Mpya ya Misa

In Stock
$1.00

ISBN 9966-21-008-3; Revised Edition with New Kanuni ya Misa 2021; Reprint 2022: Pages 95 Read more

Tags: Sala, na, Kanuni, mpya, ya, Misa
Weight: 85 g
SKU: #BLSEVI2CkW

ISHARA YA MSALABA

Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina

BABA YETU

Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamee makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sis waliotukosea. Usitutie katika kishawishi, lakini utuopoe maovuni. Amina

SALAMU MARIA

Salamu, Maria, umejaa neema, Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu, mzao wa tumbo laki amebaikiwa. Maria mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sis wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like