ISBN 9966-60-324-1; Year of Publication 2025; 40 pages. Read more
Hii ni tafsiri ya Kiswahili ya The Rosary of the Seven Sorrows. Kitabu hiki kinatoa njia kamili ya kutafakari, kuomba, na kuhusianisha machungu ya Maria na maisha yetu ya kila siku. Maria Mama yetu, aliishi kupitia nyakati za furaha na huzuni. Tafakari hii na sala inaweza kuwa kwa mtu binafsi au kufanywa kwa umoja na mtu yeyote anayeishi kipindi cha maumivu.
Specifications | Descriptions |
---|---|