Mbarikiwa Anna Maria Adorni

In Stock
$1.00

Mwanzilishi wa "WAJAKAZI WA MARIA IMAKOLATA" wa Parma Read more

ISBN 9966-60-064-6; Year of Publication 2017; 39 Pages

SALA

Ewe Utatu Mtakatifu sana

Tunakusifu na kukushukuru kwa kumchangua

Mama Anna Maria Adorni awe chombo cha huruma

Kwenye shida za kimaadili na za mali ya kidunia,

Na kwa unyenyekevu tunakuomba utujalie

Kupitia kwa maombezi yake,

Neema tunazokuomba kwa imani kweli.

Tunaomba hayo kupitia kwa mapenzi ya Kristo Mkombozi wetu

Na kupitia kwa Bikira Maria Imakolata.

Amina 

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like