Majuto ya Pesa Haramu

In Stock
$1.00

ISBN 9966-08-411-8; Year of publication 2008; 1st published under the title, "Deadly Money Maker" Translated by Ernest Kamugisha Read more

Tags: Majuto, ya, Pesa, Haramu
Weight: 175
SKU: #UqVcVpEgpz

Hii ni hadithi ya ukweli ya mwanamke mmoja aliyefungwa gerezani kwa sababu alijihusisha na biashara ya madawa ya kulevya bila kutambua alichotarajiwa kutimiza. Msomaji anapata kidokezo cha maisha ya mwanamke mmoja yaliyoanza vizuri, kikamilifu,mwenye familia, mwenye mme mpendwa na watoto, na kazi nzuri, bali alishawishika kwenye jinamizi na kuishia gerezani. Hii ni hadithi ya Maisha yake alipokuwa gerezani. Lengo kuu la mwandishi katika kuandika kitabu hiki ni kuwafikia wengine ambao kiurahisi wanaweza kuwa mateka wa wauzaji na watengenezaji wa madawa ya kulevya, ambao huka na kungojea kuwaingiza watu wengine wasiotarajia kwenye genge lao, na pia ana lengo la kuwahusisha wengine katika hadithi yake hasa kwa msomaji mwenye kujua zaidi matatizo ya matumizi ya madawa ya kulevya ambayo ni laana kwa dunia yetu ya sasa.

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like