Kusali Rozari na Papa

In Stock
$3.00

ISBN 9966-08-135-6 Produced and Distributed by Paulines Audiovisual Africa Read more

CD 1: Mafumbo ya Furaha

(Jumatatu na Jumamosi)

 1. Malaika Anampasha Habari Maria kwamba atakuwa Mama wa Mkombozi.
 2. Bikira Maria Anakwenda kumtembelea Elisabeti
 3. Yesu Anazaliwa Bethlehem 
 4. Yesu Anatolewa Hekaluni
 5. Maria na Yusufu wanamkuta Yesu Hekaluni.                 
Mafumbo ya Mwanga(Akhamisi)
 1. Ubatizo wa Yesu Mtoni Yordani
 2. Yesu Ageuze Maji kuwa Divani
 3. Yesu Atangaza Ufalme wa Mungu
 4. Kugeuka Sura kwa Yesu
 5. Kuwekwa kwa Ekaristi

CD 2: Mafumbo ya Uchungu

(Jumanne na Ijumaa)

 1. Yesu Anatoka Jasho la Damu
 2. Yesu Anapigwi Mijaledi
 3. Yesu Anavikwa Taji la Miiba
 4. Yesu Anaubeba Msalaba wake
 5. Yesu Anakufa Msalabani
Mafumbo Ya Utukufu (Jumatano na Jumapili)
 1. Yesu Anafufuka
 2. Yesu Anapaa Mbinguni
 3. Roho Mtakatifu Anawashukisha mituma
 4. Bikira Maria Anapalizwa
 5. Bikira Maria Anavikwa Taji Mbinguni
Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like