Theodore W. Walters; ISBN 9966-21-960-9; Kurasa 128: Kilichapishwa Mwaka 2005 Read more
Kitabu hiki kinatafakari mafundisho muhimu ya imani Katoliki. Mafundisho ambayo huwaongoza Wakatoliki kuishi na kutekeleza imani yao. Asili ya kitabu hiki ni mfululizo wa vipindi vya radio. Kinaeleza imani ya Kikatoliki kwa njia ya kipekee kwa ajili ya wakristo wa afrika na kinaeleweka kwa urahisi. Kitabu hiki kitawasaidia wakatoliki kuelewa kwa kina imani yao na wengine ambao wangependa kujua zaidi kuhusu imani katoliki. Kinapatikana pia kwa lugha ya Kiingereza kama "Seeking God through the Catholic Faith".
Specifications | Descriptions |
---|---|