Kimetafsiriwa na Baraza la Maaskofu wa Tanzania Read more
ISBN 9966-08-491-6; kurasa 336: toleo la pili 2014
Katekisimu hii imeandikwa kwa kutilia maanani madhumuni machache, nayo ni: ukaribu zaidi wa Katekisimu ya Kanisa Katoliki na muhtasari wa mafundisho ya dini na maadili, lugha rahisi,marejeo kwenye maadili ya kiafrika, matumizi ya michoro na zana nyinginezo za katekesi ili kusaidia kuelewa ujumbe kwa undani.
Specifications | Descriptions |
---|---|