Katekisimu Katoliki - Nifuate Mimi Ndimi Njia Ukweli na Uzima

In Stock
$5.00

Na Baraza la Maaskofu wa Kenya Nifuate.... mimi ndimi Njia, Ukweli na Uzima ISBN 9966-08-491-6; Kurasa 336: toleo la pili  2014 Read more

Katekisimu hii imeandikwa kwa kutilia maanani madhumuni machache, nayo ni: ukaribu zaidi wa Katekisimu ya Kanisa Katoliki na muhtasari wa mafundisho ya dini na maadili, lugha rahisi, marejeo kwenye maadili ya kiafrika, matumizi ya michoro na zana nyinginezo za katekesi ili kusaidia kuelewa ujumbe kwa undani.

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like