Kanisa la Kimazingira

In Stock
$1.00

ISBN 9966-0-958-6; kurasa 94: kilichapishwa 2015 Mikutano ya Kukoleza Jumuiya Ndogo ndogo za Kikristo Na Rodrigo Meia, SJ Read more

Ni tumaini la mwandishi kwamba wewe unayekisoma kitabu hiki ni Mkisrto na ungependa kuishi kwa uthabithi ukristo wako. Wengi hudhani kwamba kuwa mkristo ni kuhudhuria ile ibada ya Jumapili kanisani tu, basi. Juma halina siku moja tu bali siku saba na ukristo ni kwa siku saba vilevile. Pia ni lazima uwe ukristo wa matendo kwa siku hizo saba na wala siyo wa maneno tu.
Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0

You May Also Like