Biblia ya Kiafrika.

In Stock
$20.00

Paulines Read more

Tags:
Weight: 1370 g
SKU: #zwjPIOwkAa

Ni Biblia yenye miongozo ya kujipunzia kwa ajili ya sala na tafakari kwa kadiri ya matakwa yaliyoelezwa na Maaskofu Waafrika. Katika tangulizi, taribihi na tahakiki, mifano sambamba na mang'amuzi ya kiafrika imetolewa. Biblia imetajirishwa na marejeo mtambuko, masomo ya mzunguko wa miaka 3 wa liturujia, mfululizo na matukio na faharasa au faharasa ya mada.

Specifications Descriptions

Latest Reviews

No Review
0